



Steven Gerrard alizaliwa tarehe 30 May 1980 katika kitongoji cha WHISTON nchini ENGLAND ana urefu wa fut 6 anacheza nafasi ya kiungu katika timu ya LIVERPOOL na ENGLAND.
Gerrard alianza kuchezea timu ya mtaa ya WHISTON na akiwa na umri wa miaka 8 alijiunga na accademy ya liverpool na kufanikiwa kucheza mechi kama 20 akiwa na umri wa miaka 14 na 16.
Gerrard alisahini kucheza liverpool tarehe 5 NOV 1997 akilipwa £700 kwa wiki.
1998-99 Gerrard alicheza mechi ya kwanza tarehe 29 NOV 1998 katika kipindi cha pili akiingia kama mchezaji wa akiba akimbadili VEGARD HEGGEM dhidi ya B'BURN na alianza kipindi cha kwanza katika mechi ya kombe la UEFA dhidi ya CELTA VIGO kutokana na JAMIE REDKNAPP, kwa msimu huo gerrard alicheza mechi 13.
1999-00 Gerrard alifunga goli lake la kwanza katika ushindi wa goli 4-1 dhidi ya SHEFFIELD WEDNESDAY.
2000-01 Gerrard alifunga goli lake katika fainali ya kombe la uefa katika ushindi wa goli 5-4 dhidi ya DEPORTIVO ALAVES, pia alichaguliwa kuwa mchezaji bora chipukizi wa mwaka wa PFA.
2002-2003 Gerrard alifunga goli la kwanza katika ushindi wa goli 2-0 dhidi ya mahasimu wao wakuu MAN U katika mcheza wa ngao ya hisani.
2003-04 HOULLER alimchagua gerrard kuwa captain akimbadili SAMI HYPPIA, OCT 2003 Gerrard alisahini mkataba wa miaka minne na ambao alilipwa £60000 kwa wiki, Gerrard anakuwa mchezaji wapil kuwa captain akiwa na umri mdogo mwingine ni DIDIER DESCHAMPS.
Gerrard ni mmoja kati ya wachezaji wawili waliofanikiwa kufunga magoli katika fainali mbili za kombe la UEFA na CHMPIONS LEAGUE mwingine ni DIMITRI ALENICHEV wa FC PORTO.
Gerrard anachaguliwa kuwa mchezaji bora wa UEFA champions league pia alichaguliwa na gazeti la michezo la L'EQIPES PRESTIGOUS BALLON D'OR AWARD, Gerrard alichaguliwa kuwa mwanamichezo wa mwaka 2005 na BBC Pia alikuwa mchezaji bora watatu wa mwaka 2005.
2005-06 anafunga goli la 23 katika mechi 53 alizocheza katika fainali ya kombe la FA.
Pia anachaguliwa kuwa mchezaji bora wa PFA na kuwa mchezaji wapili wa l'pool kutwaa tuzo hiyo tangu JOHN BARNES mwaka 1998
goli la fainali ya kombe la FA linamfanya Gerrard kuwa mchezaji pekee wa ENGLAND kufunga katika fainali nne tofauti yani
FA CUP 2006 vs WEST HAM
LEAGE CUP 2O03 VS MAN U
UEFA CUP 2001 VS DEPORTIVO ALAVES
CHAMPIONS LEAGUE 2005 VS AC MILAN
No comments:
Post a Comment