Wednesday, July 2, 2008

FIFA WORLD CUP HAT-TRICKS



Ni hat-trick 49 ambazo zimefungwa katika mechi 764 katika michuano 19 ya kombe la dunia.
Hat-trick ya kwanza alifunga BERT PETENAUDE wa USA dhidi ya PARAGUAY mwaka 1930 ya FIFA kombe la dunia.
Michuano pekee ya kombe la dunia ambayo ilikuwa haina hat-trick ni ya mwaka 2006 iliyofanyika GERMANY.
Rekodi ya idadi kubwa ya hat-trick katika michuano mmoja ya kombe la dunia ni ile ya mwaka 1954 iliyofanyika nchin SWITZERLAND ni hat-trick nane zilifanikiwa kufungwa
wachezaji wanne waliofunga hat-trick mbili katika michuano ya kombe la dunia ni
1.SANDOR KOCSIS ZOTE 1954
2.JUST FONTAIN ZOTE 1958
3.GERD MULLER ZOTE 1970
4.GABRIEL BATISTITUTA 1994 & 1998
OLEG SALENKO ni mchezaji pekee aliyefunga magoli matano katika mechi moja mwaka 1994 kombe la dunia dhidi ya RUSSIA na CAMEROON.
KOCSIS na MULLER walifunga hat-trick katika mechi mfululizo.
Wachezaji watatu waliofunga hat-trick huku timu zao zikiwa zimefungwa ni
1.ERNEST WILIMOWSK 1938{5-6}
2.JOSEF HUGI 1954{5-7}
3.IGOR BELANOV 1986{1986}
Mchezaji pekee aliyefunga hat-trick kwenye fainali ya kombe la dunia ni GEOFF HURST dhidi ya WEST GERMANY mwaka 1966.
Wachezaji pekee waliofunga hat-trick kwa magoli ya vichwa ni
1.TOMAS SKUHRAVY mwaka 1990
2.MIROSLAV KLOSE mwaka 2002.
Mchezaji kijana kuliko wote kufunga hat-trick ni PELE akiwa na umri wa miaka 17 na siku 244.
Na mchezaji mkubwa kuliko wote kufunga hat-trick ni TORE KELLER akiwa na umri wa miaka 33 na siku 159.
Hat-trick 48 za kombe la dunia ni kama zifuatazo:
1.BERT PATENAUDE mwaka 1930 USA vs PARAGUY
2.GUILLERMO STABILE mwaka 1930 ARGENTINA vs MEXICO
3.PEDRO CEA mwaka 1930 URUGUY vs YUGOSLAVIA
4.ANGELO SCHIAVIO mwaka 1934 ITALY vs USA
5.EDMUND CONEN mwaka 1934 BELGIUM vs GERMANY
6.OLDRICH NEJEDLY mwaka 1934 CZECHOSLOVAKIA vs GERMANY
7.ERNEST WILLIMOWSKI mwaka 1938 POLAND vs BRAZIL
8.LEONIDAS DA SILVA mwaka 1938 BRAZIL vs POLAND
9.GUSTAV WETTERSTON mwaka 1938 SWEDEN vs CUBA
10.TORE KELLER mwaka 1938 SWEDEN vs CUBA
11.GYULA ZSENGELLER mwaka 1938 HUNGARY vs SWEDEN
12.OSCAR MIGUEZ mwaka 1938 HUNGARY vs SWEDEN
12.OSCAR MIGUEZ mwaka 1950 BOLIVIA vs URUGUY
13.ADEMIR MARQUES DE MENEZES mwaka 1950 BRAZIL vs SWEDEN
14.SANDOR KOCSIS mwaka 1954 URUGUY vs R.KOREA
15.ERICH PROBST mwaka 1954 AUSTRIA vs CZECHOSLOVAKIA
16.CARLOS BORGES mwaka 1954 URUGUY vs SCOTLAND
17.SANDOR KOCSIS 1954 HUNGURY vs W.GERMAY
18.BURHAN SARGIN 1954 TURKEY vs R.KOREA
19.MAX MARLOCK 1954 W.GERMANY vs TURKEY
20.THEODOR WAGNAER 1954 AUSTRIA vs SWITZERLAND
21.JOSEF HUGI 1954 SWITZERLAND vs AUSTRIA
22.PELE 1954 BRAZIL vs FRANCE
23.JUST FONTAINE 1958 FRANCE vs PARAGUY
24.JUST FONTAINE 1958 FRANCE vs W.GERMANY
25.FLORIAN ALBERT 1962 HUNGARY vs BULGARIA
26.EUSEBIO 1966 PORTUGAL vs KOREA DRP
27.GEOFF HURST 1966 ENGLAND vs W.GERMANY
28.GERD MULLER 1970 W.GERMANY vs BULGARIA
29.GERD MULLER 1970 W.GERMANY vs PERU
30.DUSAN BAJEVIC 1974 YUGOSLAVIA vs ZAIRE
31.ANDRZEJ SZARMARCH 1974 POLAND vs HAITI
32.ROB RENSENBRINK 1978 HOLAND vs IRAN
33.TEOFILO CUBILLAS 1978 PERU vs IRAN
34.LASZLO KISS 1982 HUNGARY vs EL SALVADOR
35.KARL HEINZ RUMMENIGGE 1982 W.GERMANY vs CHILE
36.ZBIGNIEW BONIEC 1982 POLAND vs BELGIUM
37.PAOLO ROSSI 1982 ITALY vs BRAZIL
38.PREBEN EL KAJAER LARSEN 1986 DENMARK vs URUGUAY
39.GARY LINEKER 1986 ENGLAND vs POLAND
40.IGOR BELANOV 1986 USSR vs BELGIUM
41.EMILIO BUTRAGUENO 1986 SPAIN vs DENMARK
42.MICHAEL 1990 SPAIN vs R.KOREA
43.TOMAS SKUHRAVY 1990 CZECHOSLOVAKIA vs COSTA RICA
44.GABRIEL BATISTUTA 1994 ARGENTINA vs GREECE
45.OLEG SALENKO 1994 RUSSIA vs CAMEROON
46.GABRIEL BATISTUTA 1998 ARGENTINA vs JAMAICA
47.MIROSLAV KLOSE 2002 GERMANY vs SAUD ARABIA
48.PAULETA 2002 PORTUGAL vs POLAND
49.HIGUAN 2010 ARGENTINA VS S.KOREA

No comments: